Back to TTS.ai

Gushyiraho inyandiko

Text to Speech kokoro

Iyimura Ihuza in
iyi

Wanafunzi wangu, Leo tunaendelea na mada ya Upimaji, kipengele cha moja nukta moja: Kuzidisha vipimo vya urefu. Katika somo hili, tunajifunza jinsi ya kutumia hesabu kwa kuelewa, si kwa kuandika tarakimu pekee, bali kwa kuelezea kila hatua kwa maneno. Kwanza kabisa, kumbukeni uhusiano wa vipimo: Sentimita moja ni sawa na milimita kumi Mita moja ni sawa na sentimita mia moja Kilomita moja ni sawa na mita elfu moja Huu uhusiano ni muhimu sana kwa sababu unatusaidia kubadilisha vipimo tunapozid

IDOSIYE Byarengeje igihe

Inyumvo Amahuza Nyuma 24 Amasaha. Kurema munsi!

Kurema Idosiye

Byakoreshejwe 20 + - -, Oya Kwiyandikisha - Hejuru Bya ngombwa.

Umwandiko Kuri